\v=18 \v~=Nayo hesabu ya wale panya wa dhahabu ilikuwa kulingana na idadi ya miji ya Wafilisti ya watawala watano wa Wafilisti: miji yao iliyozungukwa na maboma, pamoja na vijiji vya miji hiyo. Ule mwamba mkubwa, ambao juu yake waliliweka lile Sanduku la \nd Bwana\nd*, ni ushahidi hadi leo katika shamba la Yoshua wa Beth-Shemeshi. \¬v \¬p