\p \v=19 \v~=Lakini Mungu aliwapiga baadhi ya watu wa Beth-Shemeshi, akiwaua watu sabini miongoni mwao kwa sababu walichungulia ndani ya Sanduku la \nd Bwana\nd*. Watu wakaomboleza kwa sababu ya pigo zito kutoka kwa \nd Bwana\nd*, \¬v