\v=2 \v~=Wafilisti waliwaita makuhani wa Dagoni na waaguzi, na kuwaambia, “Tutafanya nini na hili Sanduku la \nd Bwana\nd*? Tuambieni jinsi tutakavyolirudisha mahali pake.” \¬v \¬p