\v=20 \v~=nao watu wa Beth-Shemeshi wakauliza, “Ni nani awezaye kusimama mbele za \nd Bwana\nd*, huyu Mungu aliye mtakatifu? Sanduku litapanda kwenda kwa nani kutoka hapa?” \¬v \¬p