\p \v=21 \v~=Kisha wakatuma wajumbe kwa watu wa Kiriath-Yearimu, wakisema, “Wafilisti wamerudisha Sanduku la \nd Bwana\nd*. Shukeni na mlipandishe huko kwenu.” \¬v \¬p \¬c