\v=9 \v~=lakini liangalieni kwa makini. Iwapo litakwenda katika nchi yake lenyewe, kuelekea Beth-Shemeshi, basi tutajua kwamba \nd Bwana\nd* ndiye alileta haya maafa makubwa juu yetu. Lakini kama halikwenda, basi tutajua kwamba haukuwa mkono wa \nd Bwana\nd* uliotupiga na kwamba iliyotokea kwetu ni ajali.” \¬v \¬p