\p \c#=7 \v=1 \v~=Kisha watu wa Kiriath-Yearimu wakaja na kulichukua Sanduku la \nd Bwana\nd*. Wakalipeleka katika nyumba ya Abinadabu juu kilimani na kumweka Eleazari mwanawe wakfu kulichunga Sanduku la \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p