\p \v=12 \v~=Ndipo Samweli akachukua jiwe na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni. Akaliita Ebenezeri,\f + \fr 7:12 \ft Ebenezeri maana yake jiwe la usaidizi.\f* akisema, “Hata sasa \nd Bwana\nd* ametusaidia.” \¬v