\v=17 \v~=Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea \nd Bwana\nd* madhabahu. \¬v \¬p \¬c