\v=3 \v~=Naye Samweli akawaambia nyumba yote ya Israeli, “Ikiwa mtamrudia \nd Bwana\nd* kwa mioyo yenu yote, basi iacheni miungu migeni na Maashtorethi na kujitoa wenyewe kwa \nd Bwana\nd* na kumtumikia yeye peke yake, naye atawaokoa ninyi na mkono wa Wafilisti.” \¬v