\p \v=5 \v~=Kisha Samweli akasema, “Wakusanyeni Israeli wote huko Mispa, nami nitawaombea ninyi kwa \nd Bwana\nd*.” \¬v