\v=6 \v~=Walipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za \nd Bwana\nd*. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya \nd Bwana\nd*.” Naye Samweli alikuwa kiongozi\f + \fr 7:6 \ft Kiongozi hapa maana yake mwamuzi.\f* wa Israeli huko Mispa. \¬v \¬p