\v=9 \v~=Kisha Samweli akamchukua mwana-kondoo anyonyaye na kumtoa mzima kama sadaka ya kuteketezwa kwa \nd Bwana\nd*. Akamlilia \nd Bwana\nd* kwa niaba ya Israeli, naye \nd Bwana\nd* akamjibu. \¬v \¬p