\p \v=10 \v~=Samweli akawaambia wale watu waliokuwa wakiomba wapewe mfalme maneno yote ya \nd Bwana\nd*. \¬v