\p \v=6 \v~=Lakini wao waliposema, “Tupe mfalme wa kutuongoza,” hili lilimchukiza Samweli, hivyo akamwomba \nd Bwana\nd*. \¬v