\v=7 \v~=Naye \nd Bwana\nd* akamwambia: “Sikiliza yale yote watu wanakuambia. Si wewe ambaye wamekukataa, bali wamenikataa mimi kuwa mfalme wao. \¬v