\p \v=17 \v~=Samweli alipomwona Sauli, \nd Bwana\nd* akamwambia, “Huyu ndiye mtu niliyekuambia habari zake, kwamba yeye atawatawala watu wangu.” \¬v \¬p