\p \v=8 \v~=Mtumishi akamjibu Sauli tena, akasema, “Tazama, nina fedha robo shekeli.\f + \fr 9:8 \ft Robo shekeli ni sawa na gramu 3.\f* Hiyo nitampa huyo mtu wa Mungu ili aweze kutuambia twende kwa njia ipi.” \¬v