\p \v=15 \v~=Baada ya Nathani kurudi nyumbani kwake, \nd Bwana\nd* akampiga yule mtoto ambaye mke wa Uria alikuwa amemzalia Daudi, akaugua. \¬v