\p \v=24 \v~=Ndipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Solomoni. \nd Bwana\nd* alimpenda Solomoni. \¬v