\v=25 \v~=Kwa kuwa \nd Bwana\nd* alimpenda, akatuma neno kwa Daudi kwa kinywa cha nabii Nathani kuwa mtoto aitwe Yedidia\f + \fr 12:25 \ft Yedidia maana yake Apendwaye na \+nd Bwana\+nd*.\f* kwa ajili ya \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p