\p \v=29 \v~=Kwa hiyo Daudi akakusanya jeshi lote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka. \¬v