\v=30 \v~=Akachukua taji kutoka kwa kichwa cha mfalme wao, lililokuwa na uzito wa talanta moja ya dhahabu,\f + \fr 12:30 \ft Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34.\f* nayo ilizungushiwa vito vya thamani. Ikawekwa juu ya kichwa cha Daudi. Alichukua nyara nyingi kutoka mjini huo. \¬v