\p \v=5 \v~=Daudi akawakwa na hasira dhidi ya mtu huyo tajiri na kumwambia Nathani, “Hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo, mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa! \¬v