\v=9 \v~=Kwa nini ulilidharau neno la \nd Bwana\nd* kwa kufanya lililo ovu machoni pake? Ulimuua Uria, Mhiti kwa upanga na kumchukua mke wake awe mkeo. Ulimuua kwa upanga wa Waamoni. \¬v