\p \v=3 \v~=Basi Amnoni alikuwa na rafiki jina lake Yonadabu mwana wa Shimea,\f + \fr 13:3 \ft Shimea pia hutamkwa Shama.\f* nduguye Daudi. Yonadabu alikuwa mtu wa hila nyingi sana. \¬v