\p \v=17 \v~=“Basi sasa mtumishi wako anasema, ‘Neno la bwana wangu mfalme na linipatie pumziko, kwa maana bwana wangu mfalme ni kama malaika wa Mungu katika kutambua jema na baya. \nd Bwana\nd* Mungu wako na awe pamoja nawe.’ ” \¬v \¬p