\v=26 \v~=Kila mara aliponyoa nywele za kichwa chake, kwa kuwa alikuwa akinyoa mara kwa mara zilipokuwa zinamwia nzito, alizipima uzito wake ulikuwa shekeli mia mbili kwa kipimo cha kifalme.\f + \fr 14:26 \ft Shekeli 200 kwa kipimo cha kifalme ni sawa na kilo 2.3.\f* \¬v \¬p