\p \v=21 \v~=Lakini Itai akamjibu mfalme, “Hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo na kama mfalme bwana wangu aishivyo, popote mfalme bwana wangu atakapokuwa, ikiwa ni kuishi au kufa, hapo ndipo mtumishi wako atakapokuwa.” \¬v \¬p