\p \v=25 \v~=Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Rudisha Sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitapata kibali mbele za \nd Bwana\nd*, atanirudisha, nami nitaliona Sanduku hili tena pamoja na Maskani yake. \¬v