\v=31 \v~=Basi Daudi alikuwa ameambiwa, “Ahithofeli alikuwa miongoni mwa washiriki wa shauri baya la Absalomu.” Ndipo Daudi akaomba, akisema, “Ee \nd Bwana\nd*, geuza shauri la Ahithofeli kuwa ujinga.” \¬v \¬p