\p \v=18 \v~=Hushai akamwambia Absalomu, “La hasha, yeye aliyechaguliwa na \nd Bwana\nd*, aliyechaguliwa na watu hawa, atakayechaguliwa tena na watu wote wa Israeli, huyu ndiye nitakayekuwa wake, nami nitabakia pamoja naye. \¬v