\p \v=11 \v~=Yoabu akamwambia huyo mtu, “Nini! Ulimwona Absalomu? Kwa nini hukumpiga papo hapo mpaka chini? Ndipo ningekupa shekeli kumi\f + \fr 18:11 \ft Shekeli kumi za fedha ni sawa na gramu 115.\f* za fedha na mkanda wa askari shujaa.” \¬v \¬p