\p \v=12 \v~=Lakini huyo mtu akamjibu Yoabu, “Hata kama ningepimiwa shekeli 1,000\f + \fr 18:12 \ft Shekeli 1,000 za fedha ni sawa na kilo 11.5.\f* mikononi mwangu, nisingeinua mkono wangu dhidi ya mwana wa mfalme. Tukiwa tunasikia, mfalme alikuagiza wewe na Abishai pamoja na Itai, akisema, ‘Mlindeni kijana Absalomu kwa ajili yangu.’ \¬v