\p \v=30 \v~=Mfalme akasema, “Simama kando na usubiri hapa.” Basi akasogea kando na kusimama hapo. \¬v \¬p