\p \v=31 \v~=Ndipo huyo Mkushi akawasili na kusema, “Mfalme bwana wangu, sikia habari njema! Leo \nd Bwana\nd* amekuokoa kutoka kwa wale wote walioinuka dhidi yako.” \¬v \¬p