\p \v=21 \v~=Ndipo Abishai mwana wa Seruya akasema, “Je, Shimei hapaswi kuuawa kwa ajili ya hili? Alimlaani mpakwa mafuta wa \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p