\v=7 \v~=Sasa utoke nje ukawatie moyo watu wako. Naapa kwa \nd Bwana\nd* kwamba ikiwa hutatoka nje, hakuna mtu atakayesalia pamoja nawe ifikapo leo jioni. Hii itakuwa mbaya zaidi kwako kuliko maafa yote yaliyokupata tangu ujana wako hadi sasa.” \¬v \¬p