\p \v=8 \v~=Kwa hiyo mfalme akaondoka akaketi kitini pake penye lango. Watu walipoambiwa, “Mfalme ameketi langoni,” watu wote wakamjia. \¬p \s1=Daudi Arudi Yerusalemu \p \p~<