\v=16 \v~=Naye Ishbi-Benobu, mmoja wa wazao wa Warefai,\f + \fr 21:16 \ft Yaani majitu.\f* ambaye mkuki wake ulikuwa na uzito wa shekeli 300 za shaba,\f + \fr 21:16 \ft Shekeli 300 za shaba ni sawa na kilo 3.5.\f* alikuwa amejifunga upanga mpya, naye alisema angemuua Daudi. \¬v