\p \v=7 \v~=Mfalme akamhifadhi Mefiboshethi mwana wa Yonathani, mwana wa Sauli, kwa sababu ya kile kiapo mbele za \nd Bwana\nd* kati ya Daudi na Yonathani. \¬v