\v=12 \v~=Lakini Shama akasimama imara katikati ya lile shamba. Akalitetea na kuwaua Wafilisti, naye \nd Bwana\nd* akawapa ushindi mkubwa. \¬v \¬p