\p \v=9 \v~=Wa pili wake alikuwa Eleazari mwana wa Dodai,\f + \fr 23:9 \ft Dodai tafsiri nyingine zinamwita Dodo.\f* Mwahohi. Akiwa mmojawapo wa wale mashujaa watatu, alikuwa pamoja na Daudi wakati waliwadhihaki Wafilisti waliokuwa wamekusanyika huko Pas-Damimu kwa ajili ya vita. Kisha watu wa Israeli wakarudi nyuma, \¬v