\p \v=10 \v~=Dhamiri ya Daudi ilishtuka baada ya kuwahesabu wapiganaji, naye akamwambia \nd Bwana\nd*, “Nimefanya dhambi kubwa kwa kufanya jambo hili. Ee \nd Bwana\nd*, sasa ninakusihi, ondoa hatia ya mtumishi wako. Nimefanya jambo la kipumbavu sana.” \¬v \¬p