\v=12 \v~=“Nenda ukamwambie Daudi, ‘Hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*: Ninakupa wewe uchaguzi wa mambo matatu. Nichagulie mojawapo nitakalotenda dhidi yako.’ ” \¬v \¬p