\p \v=14 \v~=Daudi akamjibu Gadi, “Nitataabika sana. Afadhali tuangukie mikononi mwa \nd Bwana\nd*, kwa maana rehema zake ni kuu, lakini usiniache nianguke mikononi mwa wanadamu.” \¬v \¬p