\p \v=17 \v~=Ikawa Daudi alipomwona huyo malaika aliyekuwa akiwaua watu, akamwambia \nd Bwana\nd*, “Mimi ndiye niliyetenda dhambi na kukosa. Hawa ni kondoo tu. Wamefanya nini? Mkono wako uwe juu yangu na nyumba yangu.” \¬v \¬p