\v=25 \v~=Kisha Daudi akamjengea \nd Bwana\nd* madhabahu mahali hapo, na kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Kisha \nd Bwana\nd* akajibu kwa ajili ya nchi, nayo tauni ikakoma katika Israeli. \¬v \¬p \¬c \¬list \¬chapters