\p \v=3 \v~=Lakini Yoabu akamjibu mfalme, “\nd Bwana\nd* Mungu wako na azidishe jeshi mara mia, nayo macho ya bwana wangu mfalme na yaone hili. Lakini kwa nini bwana wangu mfalme anataka kufanya kitu cha namna hii?” \¬v \¬p