\p \v=10 \v~=Ish-Boshethi\f + \fr 2:10 \ft Ish-Boshethi maana yake Mtu wa Aibu, pia anaitwa Esh-Baali maana yake Mtu wa Baali (\+xt 1Nya 8:33; 9:39\+xt*).\f* mwana wa Sauli alikuwa na umri wa miaka arobaini alipoanza kutawala Israeli, naye akatawala miaka miwili. Hata hivyo, nyumba ya Yuda ikamfuata Daudi. \¬v